for easy: key "-3"
whole song: Fm A# D# Cm
[Intro]
Oooooh...
Jay once again...
[Verse 1]
Fm A#Ilikuwa kula, kusoma, kuchezaa
D# CmVingine nlivyo tamani kuvipata vililetwa
Fm A#Nawala sikudhani hizi siku zitafika
D# CmSikuwa na mashaka aitae na miaka
[Pre-Chorus]
Fm A#Now nimekuwaa, nimetambuwa
D# CmUtuuzima dawa, sio mauwaa
Fm A#Leo natamani nisingekuwa
D# CmUtuuzima dawa, sio mauwaa...
[Chorus]
Fm A#Bora zamani nlivyo kuwa mtoto
D# CmAaaah zamani nlivyo kuwa mtoto
Fm A#Bora zamani nlivyo kuwa mtoto
D# CmAaaah zamani nlivyo kuwa mtoto
[Verse 2]
Unaaaaa...
Kuwa uyaone, niliambiwa
Duniani inamengii sanaaa
Usione mtu kainama huu
Wasakatokee wanapambania
Hapa mgeni lawamaa
Tena kuna mda unaumia sana huuu
[Bridge]
Ilikuwa rahisii huko nyuma
Rahisi sanaaa
Time hizi nizamu yangu
Kupambana hata nikimiss
Hakuna jinsi, vile ntafanya
Mungu ni bariki riziki yangu
Fungua milango
[Pre-Chorus]
Now nimekuwaa, nimetambuwa
Utuuzima dawa, sio mauwaa
Leo natamani nisingekuwa
Utuuzima dawa, sio mauwaa...
[Chorus]
Bora zamani nlivyo kuwa mtoto
Aaaah zamani nlivyo kuwa mtoto
Bora zamani nlivyo kuwa mtoto
Aaaah zamani nlivyo kuwa mtoto
Video
Video hinzufügen