DR. SARAH K - Niinue Na Tabo Za

Remove Ads
Original Key: C# Major
Time Signature: 4/4
Tempo: 75
Suggested Strumming: DU,DU,DU,DU
 
[INTRO]
 
C# F# G# x2 .
 
[VERSE]
C# F# C# G# Mbele ninaendelea ninazidi kutembea
A#m F# G# C# Maombi uyasikie eeh bwana unipandishe
C# C#7 C# G# Mbele ninaendelea ninazidi kutembea
A#m F# G# C# Maombi uyasikie eeh bwana unipandishe
 
[CHORUS]
C# F# G# C# Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame,
C# C#7 F# G# C# Nipande milima yote ee bwana unipandshe
C# C#7 F# G# C# Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame,
C# C#7 F# G# C# Nipande milima yote ee bwana unipandshe
 
[VERSE]
C# C#7 F# C# G# Si natamani nikae mahali pa shaka kamwe
A#m F# G# C# Hapo wengi wanakaa kuendelea naomba
C# C#7 F# C# G# Nisikae duniani ni mahali pa shetani
A#m F# G# C# Natazamia mbinguni nitafika kwa imani
 
[CHORUS]
C# F# G# C# Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame,
C# C#7 F# G# C# Nipande milima yote ee bwana unipandshe
C# C#7 F# G# C# Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame,
C# C#7 F# G# C# Nipande milima yote ee bwana unipandshe
 
[VERSE]
C# C#7 F# C# G# Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu
A#m F# G# C# Nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe

Suggest a correction
Video
 Add a video
0 comments